Namna Ousmane Dembélé alivyothibitisha ubora wake duniani


"Akijitahidi ipasavyo, anaweza kuwa mchezaji bora duniani."

Hii ilikuwa kauli ya ujasiri iliyotolewa na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi, mwaka 2021, kauli ambayo Ousmane Dembélé alikuwa akiisikia mara kwa mara katika maisha yake ya soka.

Lakini kwa wengi, ilikuwa vigumu kuamini.

Dembélé, ambaye mwaka 2017 alisajiliwa na na klabu ya Barcelona kutoka Borussia Dortmund Ujerumani kwa ada ya pauni milioni 135.5 na kuwa mchezaji wa pili ghali zaidi duniani, hakuweza kufikia matarajio hayo kwa muda mrefu.


 

No comments

Powered by Blogger.